UTARATIBU WA MAFUNZO.
1. Ada ni Tshs. 200,000/= kwa muda wa wiki nne (mwezi mmoja) fomu na kitabu 15,000/=
2. Mwanafunzi atakapomaliza mafunzo atapata cheti cha kuhitimu mafunzo
3. Mafunzo yatakuwa ya nadharia na vitendo
4. Muda wa mafunzo ya vitendo kwa kila mwanafuzi ni nusu saa (dakika 30).
5. Risiti ya malipo ya ada yatatolewa kwa mhusika
6. Mwanafunzi atapaswa kuwa na LENA ya kujifunzia toka TRA gharama ni shilling elf kumi.(10,000/=)
7. Mwanafunzi atapaswa kilipa gharama za Testi(test fee. G.R.R). TRA gharama ni Tshs 3,000/=
8. Malipo ya ada yatalipwa katika ofisi ya chama makao makuu Taifa mtaa wa Litapwasi wilaya ya Temeke.
11. kitabu cha maswali na majibu na alama za barabarani
zinazotumika na nchi za SADC ni shilingi 10,000/= na fomu Tshs 5000/=
NB:Ada ikishalipwa hairudishwi . Malipo yote yafanyike ofisini au kwa mwalimu aliyekusajili na unapatiwa risiti.
Mafunzo yanatolewa na wakufunzi walio na sifa za ukufunzi katika fani ya udereva na waliothibitishwa na serikali kwa mujibu wa sheria, wenye uzoefu wa siku nyingi na waliobobea katika ufundishaji na matawi yake yapo Tanzania nzima.
Comments
Post a Comment